Nenda kwenye maudhui
Mipangilio ya mtumiaji

Mipangilio ya Matangazo

Mipangilio ya Matangazo

YouTube inalenga kukuonyesha matangazo muhimu na yanayofaa kulingana na shughuli zako, lakini una udhibiti kila wakati. Kupitia Mipangilio ya Matangazo, tunakurahisishia udhibiti aina ya data tunayotumia kuwekea mapendeleo matangazo tunayokuonyesha. Hii inajumuisha taarifa ambayo umeweka kwenye Akaunti ya Google, tunavyokisia kuhusu mambo unayopenda kutokana na shughuli zako na unavyowasiliana na watangazaji wengine wanaoshirikiana nasi kuonyesha matangazo.

Kwa mfano, tunaweza kufikiri kuwa wewe ni shabiki wa soka kwa sababu ulitazama klipu za kuangazia mechi ya hivi majuzi kwenye YouTube au ulitafuta "uwanja wa soka ulio karibu nami" kwenye Huduma ya Tafuta na Google. Na ikiwa ulitembelea tovuti ya mtangazaji ya mshirika, tunaweza kupendekeza matangazo kulingana na shughuli hiyo.

Wakati umewasha mipangilio ya kuweka mapendeleo ya matangazo, unaweza kuchagua taarifa yoyote – umri na jinsia, mambo yanayokuvutia, au mawasiliano ya awali na mtangazaji – ili upate maelezo zaidi kuhusu kwa nini inatumiwa, uzime, au uzime matangazo yaliyowekewa mapendeleo. Bado utaona matangazo, lakini huenda yasikufae sana.

Mipangilio ya Matangazo: Pata maelezo zaidi na udhibiti taarifa zinazotumiwa kuweka mapendeleo ya matangazo